Na Rungwe Jr. California, USA Mwisho wa Juma lililopita nilikuwa Santa Barbara, California, moja kati ya miji mizuri sio tu Marekani, bali duniani kwa ujumla. Baada…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Ofisi ya Mwanasheria iheshimu kanuni-Waziri Kombani
Na Ismail Ngayonga MAELEZO, Dar es Salaam WAFANYAKAZI katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wametakiwa kuheshimu kanuni za fedha na kuweka sawa hesabu ili…
Continue Reading....Baba mahakamani kwa kutaka kuuwa kichanga
Na Mwandishi Wetu Maswa POLISI wilayani Maswa, Mkoa wa Shinyanga imemfikisha mahakamani, Baya Mlyagape (24) mkazi wa Kijiji cha Songambele Kata ya Ipililo kwa kosa…
Continue Reading....Watuhumiwa wa EPA wawili waenda jela miaka 5
Na Mwandishi Wetu WATUHUMIWA Farijala Hussein na binamu yake Rajabu Maranda wa kesi ya wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya…
Continue Reading....239,250 wanywa dawa za mabusha, matende
Na Mwandishi Wetu Morogoro SHUGHULI za uhamasishaji wa wananchi kunywa dawa za ugonjwa wa usubi, matende na mabusha Wilaya ya Morogoro zimekuwa na mwitikio mzuri…
Continue Reading....IGP Mwema awapa changamoto Sumatra, trafiki
Na Mwandishi wetu Morogoro INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema amewataka watendaji wake kwa kushirikiana na Mamlaka ya Uthibiti wa Usafiri wa Majini na…
Continue Reading....