Na Joachim Mushi, Thehabari, Dar es Salaam TAIFA ambazo mtandao wa dev.kisakuzi.com umezipata muda huu ni kwamba Polisi wa Kutuliza Ghasia (FFU) Mkoa wa Dar…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Dk Slaa atangaza mgomo, ni kufuatia kukamatwa wabunge
*Ni kufuatia kamatakamata ya wabunge wa Chadema akiwemo Mbowe *Asema uvumilivu basi, watu waingie mtaani Na Edson Kamukara KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na…
Continue Reading....Kikombe kingine chaibuka wilayani Mpanda
Na Mwandishi Wetu, Sumbawanga ULE mtindo wa baadhi ya wa kuibuka na kudai wameotesha na Mungu wakiwa usingizini waje kutoa dawa maarufu kama ‘kikombe’ kwa…
Continue Reading....Chadema kwachafuka, Mbowe, Zitto wakamatwa
Na Mwandishi Wetu KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni aliyekuwa akitakiwa kukamatwa kwa amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya mjini Arusha amekamatwa…
Continue Reading....CCM Arusha maji mazito, hakijaeleweka
Na Janeth Mushi, Thehabari, Arusha MVUTANO baina ya Katibu wa CCM mkoani hapa Mary Chatanda (pichani chini) na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa chama hicho…
Continue Reading....Dk Shein amaliza ziara Kusini Pemba
Na Rajab Mkasaba, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amemaliza ziara yake katika mikoa mitano ya Zanzibar…
Continue Reading....