KATIBU Mkuu wa CCM Wilson Mukama akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, Waziri Mkuu huyo mstaafu alipomtembelea Katibu Mkuu, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
WACHAMBUAJI PAMBA WAGOMA KUNUNUA PAMBA!
Na Baltazar Mashaka, TheHabari, MWANZA. BAADHI ya wachambuaji wa pamba mkoani hapa wametishia kugoma kununua pamba kupinga kukatwa shilingi 100 kwa ajili ya kuchangia Mfuko…
Continue Reading....JESHI LA POLISI ARUSHA KATIKA KASHFA!
Na Janeth Mushi, TheHabari, Arusha JESHI la polisi mkoa wa Arusha limekumbwa na kashfa nzito mara baada ya kuficha majina ya watu watatu waliouawa baada…
Continue Reading....Rais Kikwete akutana na Mh. Hillary Clinton Ikulu Dar!
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mheshimiwa Hillary Clinton mara baada ya kufanya mazungumzo ya kiserikali huko Ikulu tarehe 13.6.2011 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo ya…
Continue Reading....NCCR-Mageuzi watoa tuhuma zito bungeni
Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma CHAMA cha NCCR Mageuzi kupitia mbunge wao wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kimetoa tuhuma nzito za rushwa…
Continue Reading....FFU Dodoma wapambana na wanafunzi UDOM
Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma KIKOSI cha Kutuliza Ghasia (FFU) jana mjini hapa kililazimika kuwatawanya kwa mabomu ya machozi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma…
Continue Reading....