Mororogo MWIMBAJI Ali Kiba na wacheza shoo wake wamenusurika kufa baada ya kupata ajali mbaya katika eneo la Mikumi,wakitokea Mbeya kuelekeaJijini Dar es salaam, kwenye…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mnyika aonesha wasiwasi na kauli ya Pinda
TAREHE 25 na 26 Juni 2011 Vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitangaza kwamba katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Continue Reading....Wahariri watembelea Hifadhi ya Mikumi Morogoro
WAHARIRI wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, leo wamefanya ziara ya kutembelea Hifadhi ya Mikumi, ikiwa ni moja ya jitihada zinazofanywa na Shirika la Hifadhi…
Continue Reading....Mbunge wa CCM amchongea DC Kwa Pinda
Dodoma MBUNGE wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro , Amosi Makalla (CCM), amemuomba Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumchukulia hatua Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Fatma…
Continue Reading....Katiba Mpya sasa Aprili 2014 – Pinda
KATIBA mpya ambayo mchakato wake umeanza inatarajiwa iwe imekamilika na kuzinduliwa rasmi Aprili 26, 2014 wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano, Waziri Mkuu…
Continue Reading....Mnyika ataka Serikali iwajibike kwa mgawo wa umeme
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema Serikali ina kila sababu ya kuwajibika kutokana na…
Continue Reading....