Waziri Mkuu, Mizengo Pinda WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema suala la uharamia linahitaji kupata nguvu zaidi ya kukabiliana nalo kutoka ngazi ya Umoja wa Afrika…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Upinzani waitaka BAE ilipe haraka chenji ya Tanzania
Dodoma KAMBI ya Upinzani Bungeni, imeunga mkono juhudi za Serikali za kupinga nia ya, Kampuni ya BAE systems ya Uingereza ya kutaka kulipa fedha za…
Continue Reading....Tanzania itanufaika na GS1 kibiashara-Dk Bilal
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi huduma mpya ya Mfumo wa Utambuzi wa Bidhaa…
Continue Reading....WAZIRI MKUU KWENDA KOREA KUSINI LEO
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda anatarajiwa kuondoka nchini kesho (Jumanne, Julai 05, 2011) kwenda Korea Kusini ambako atazindua meli ya uchimbaji mafuta iitwayo Poisedon ambayo inajengwa…
Continue Reading....Mbunge aufagilia utendaji wa Serikali
Mbunge Neema Mgaya Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Viti Maalumu CCM, Neema Mgaya, ameipongeza serikali kwa kuwawezesha vijana wanaosoma elimu ya juu kupata mikopo na…
Continue Reading....Rais Ondimba wa Gabon aomba msaada wa kufundishwa Kiswahili!
Na Salva Rweyemamu Tanzania imeombwa kuisaidia Gabon kubuni, kuanzisha na kusimamia mitaala inayofaa kuanzisha ufundishaji wa lugha ya Kiswahili katika shule za nchi hiyo…
Continue Reading....