Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,229

Category: Habari za Nyumbani

Waziri Mkuu awataka wabunge kuchangamkia maabara

Posted on: July 21, 2011 - jomushi
Waziri Mkuu awataka wabunge kuchangamkia maabara

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema wakati Serikali inajipanga kutekeleza mpango wa kuimarisha masomo ya sayansi shuleni, meza ya maabara inayohamishika inaweza kutumika kupunguza tatizo la…

Continue Reading....

Basi la Hood lapata ajali Mikumi, 10 wahofiwa kufa

Posted on: July 20, 2011July 20, 2011 - jomushi
Basi la Hood lapata ajali Mikumi, 10 wahofiwa kufa

WATU 10 wanahofiwa kupoteza maisha huku 34 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hood namba T.762 AVL aina ya Scania kuteketea kwa moto. Kaimu…

Continue Reading....

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete katika Ziara Rasmi ya kitaifa Afrika ya Kusini

Posted on: July 20, 2011July 20, 2011 - admin
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete katika Ziara Rasmi ya kitaifa Afrika ya Kusini

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Ulinzi la Afrika ya Kusini wakati wa mwanzo wa Ziara yake Rasmi ya…

Continue Reading....

Chadema yasema vyama vyote vinafanya siasa vyuoni

Posted on: July 20, 2011 - jomushi
Chadema yasema vyama vyote vinafanya siasa vyuoni

Dodoma, MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema siasa vyuoni hazitakoma, endapo Serikali itashindwa kuwatimizia wanafunzi haki zao. Alisema kila chama kinafanya siasa vyuoni…

Continue Reading....

Wabunge wa CCM walivyovutana kabla ya kuiondoa bajeti ya Ngeleja bungeni, wapendekeza bosi Tanesco aadhibiwe

Posted on: July 20, 2011 - jomushi
Wabunge wa CCM walivyovutana kabla ya kuiondoa bajeti ya Ngeleja bungeni, wapendekeza bosi Tanesco aadhibiwe

Baadhi ya wabunge wa CCM wakiwa bungeni Dodoma. Dodoma VUGUVUGU la kuondolewa kwa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, lilianzia ndani ya kikao cha…

Continue Reading....

Naibu Spika wa Bunge amzika bibi yake

Posted on: July 20, 2011July 21, 2011 - jomushi
Naibu Spika wa Bunge amzika bibi yake

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akiwa na mkewe Dk. Fatuma akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari