Na William Macha, Njombe MRADI wa Muunganisho wa Wajasiriamali Vivijini (MUVI) kupitia kitengo chake cha habari umeingia Njombe na kufanikiwa kuzungumza na wajasiriamali wa zao…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Naibu Waziri awataka maofisa kilimo ‘kuishi’ vijijini
Na Janeth Mushi, Arusha MAOFISA ugani na kilimo nchini wametakiwa kuhama maeneo ya mjini na kwenda vijijini ili kuwasaidia wakulima na wafugaji mbinu anuai za…
Continue Reading....Mwanaume aishi na simba wiki 5 banda moja, akisaka ‘noti’
Na Mwandishi Wetu MMILIKI wa banda moja la maonesho ya wanyama wakali akiwemo Simba, Aleksandr Pylyshenko ameamua kujifungia banda moja na Simba kaadhaa anaowamiliki ili…
Continue Reading....Mgomo wa wauza petroli, dizeli waendelea Dar es Salaam
Na Joachim Mushi MGOMO wa kinyemela kwa wauzaji wa mafuta ya petroli na dizeli umeendelea jana mjini Dar es Salaam, ambapo umezua kero kubwa kwa…
Continue Reading....DR. MIGIRO KUZINDUA RIPOTI YA UTAWALA BORA YA APRM
Na Mwandishi Wetu, Dodoma NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, Agosti 10, 2011 anatarajia kuzindua ripoti mpya ya Mpango wa Bara…
Continue Reading....