Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,204

Category: Habari za Nyumbani

Tanzania kutumia mil 400 katika sensa ya majaribio

Posted on: August 17, 2011 - jomushi
Tanzania kutumia mil 400 katika sensa ya majaribio

Na Tiganya Vicent, MAELEZO JUMLA ya sh. milioni 400 zinatarajiwa kutumika kugharamia shughuli za uendeshaji wa sensa ya majaribio itakayofanyika Septemba 4 hadi 11 mwaka…

Continue Reading....

Wanajeshi wadaiwa kuvamia kijiji Dar

Posted on: August 16, 2011 - jomushi
Wanajeshi wadaiwa kuvamia kijiji Dar

TAARIFA zilizotufikia jana majira ya saa nne asubuhi kutoka nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ni kwamba; watu wanaodaiwa kuwa ni Wanajeshi wa…

Continue Reading....

Madereva ‘bodaboda’ wateketeza Prado kwa moto Arusha

Posted on: August 16, 2011 - jomushi
Madereva ‘bodaboda’ wateketeza Prado kwa moto Arusha

Na Janeth Mushi, Arusha JOPO la waendesha pikipiki maarufu kama “bodaboda” mkoani hapa wameteketeza gari kwa moto baada ya gari hilo kumsababishia kifo dereva mwenzao…

Continue Reading....

Dk Bilal azindua rasmi maghorofa ya Polisi Kilwa

Posted on: August 16, 2011 - jomushi
Dk Bilal azindua rasmi maghorofa ya Polisi Kilwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Maghorofa 30 ya Kambi ya Polisi yaliyopo Barabara ya…

Continue Reading....

‘Wadau tuchangamkie Scholarship za Chuo cha Sheffield, Uingereza’

Posted on: August 16, 2011August 17, 2011 - Rungwe Jr.
‘Wadau tuchangamkie Scholarship za Chuo cha Sheffield, Uingereza’

Taariza zilizotufikia hapa dev.kisakuzi.com ni kwamba chuo cha Sheffield kinazo Scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa Kitanzania walioonyesha uhodari mkubwa katika masomo yao, na wana dhamiria kujiunga…

Continue Reading....

Mikoa 11 kushiriki sensa ya majaribio Tanzania

Posted on: August 15, 2011August 15, 2011 - jomushi
Mikoa 11 kushiriki sensa ya majaribio Tanzania

Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Morogoro JUMLA ya mikoa 11 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kushirikia katika sensa ya majaribio ya watu na Makazi itakayoanza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari