Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,198

Category: Habari za Nyumbani

Mbunge Silima afariki dunia, Kikwete atuma rambirambi

Posted on: August 23, 2011 - jomushi
Mbunge Silima afariki dunia, Kikwete atuma rambirambi

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda,…

Continue Reading....

Kijiji cha Mahongole Njombe kujengewa Soko

Posted on: August 23, 2011August 23, 2011 - jomushi
Kijiji cha Mahongole Njombe kujengewa Soko

Na Mwandishi Wetu, Njombe WAKULIMA wa nyanya katika Kijiji cha Mahongole kilichopo mkoa mpya wa Njombe wameahidiwa kujengewa soko na mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini…

Continue Reading....

Breaking Newsss; CAG athibitisha Jairo hana atia, anarejea kazi

Posted on: August 23, 2011 - jomushi
Breaking Newsss; CAG athibitisha Jairo hana atia, anarejea kazi

KATIBU Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo ametangaza muda huu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo aliyesimamishwa hivi karibuni hana kosa lolote…

Continue Reading....

Dwight Howard Hits Tanzania…With $80K For Schools

Posted on: August 23, 2011 - admin
Dwight Howard Hits Tanzania…With $80K For Schools

This past week, Dwight Howard joined executives from his D12 Foundation on a trip to the United Republic of Tanzania where he visited the Kipok…

Continue Reading....

Mbunge apata ajali Dodoma, mkewe afariki dunia

Posted on: August 22, 2011 - jomushi
Mbunge apata ajali Dodoma, mkewe afariki dunia

Na Mwandishi wetu, Dodoma MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi (B.L.W) wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mussa Khamis Silima amefiwa na mkewe baada ya gari…

Continue Reading....

Msekwa ajibu mapigo, amuita mbunge wa CCM mzushi, anachuki

Posted on: August 22, 2011 - jomushi
Msekwa ajibu mapigo, amuita mbunge wa CCM mzushi, anachuki

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Ngorongoro, Pius Msekwa amesema tuhuma zilizotolewa bungeni na Mbunge wa Ngorongoro, Kaika Telele wa Chama Cha Mapinduzi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari