Na Mwandishin Wetu KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom jana imemtangaza, Rene Meza kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo hapa nchini. Rene ambae…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Bongo Starz yaichapa Ivory Coast bao 4 kwa 1!
Na Mwandishi Wetu, Los Angeles, CA ILE siku ya Septemba 3, ambayo ilikuwa ikisubiriwa na wa-Afrika wengi hapa jijini Los Angeles iliwadia. Timu 24 za…
Continue Reading....Mbunge Lema afikishwa mahakamani Arusha
MBUNGE wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema leo amefikishwa mahakamani na wakazi watatu wa Jimbo la Arusha…
Continue Reading....Kliniki ya mafunzo mchezo wa kikapu kuanza Sept 6
Balozi wa Marekani nchini Tanzania kuifungua Na Moshi Stewart, MAELEZO-Dar es Salaam SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Marekani…
Continue Reading....Wasomali 750,000 hatarini kufa njaa
Somalia WATU zaidi ya 750,000 huenda wakafa njaa kutokana na makali ya ukame katika miezi ijayo, hii ni onyo iliyotolewa na Umoja wa Mataifa ikitangaza…
Continue Reading....Guinness yapata wakali wa soka watakaokwenda Afrika Kusini
MASHINDANO ya vipaji vya mpira ya ‘Guinness Football Challenge’ yamemalizika jana katika viwanja vya Leaders na kupatikana timu nane za watu wawili wawili kila timu…
Continue Reading....