Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,174

Category: Habari za Nyumbani

Ongezeko la ajali barabarani zamkera Waziri

Posted on: September 16, 2011September 16, 2011 - jomushi
Ongezeko la ajali barabarani zamkera Waziri

*Abuni njia mpya kudhibiti ajali Na Joachim Mushi ONGEZEKO la ajali za barabarani zimemkera Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha na…

Continue Reading....

Mwenyekiti wa Wilaya Chadema ahamia CCM

Posted on: September 16, 2011September 16, 2011 - jomushi
Mwenyekiti wa Wilaya Chadema ahamia CCM

Na Bashir Nkoromo, Singida KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ameshushia kilio tena kwa CHADEMA baada ya Mwenyekiti…

Continue Reading....

SBL yazindua kampeni ya unywaji wa pombe kistarabu

Posted on: September 16, 2011September 16, 2011 - jomushi
SBL yazindua kampeni ya unywaji wa pombe kistarabu

*Kutoa elimu nchi nzima kuwalinda raia Na Joachim Mushi WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha ameipongeza Kampuni ya Bia ya Serengeti…

Continue Reading....

Serikali yasitisha kazi ya kutafuta maiti majini

Posted on: September 16, 2011 - jomushi
Serikali yasitisha kazi ya kutafuta maiti majini

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetoa tamko la kusitishwa rasmi shughuli ya utafutaji wa miili ya watu walionasa kwenye meli ya…

Continue Reading....

Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika ndani ya TGNP

Posted on: September 15, 2011September 15, 2011 - jomushi
Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika ndani ya TGNP

Usiku huu Septemba 15, 2011 ndani ya Viwanja vya TGNP linaendelea Tamasha la Kumi la Jinsia, wanaharakati wanaoshiriki Tamasha hilo wanakutana kwa pamoja kwenye hafla…

Continue Reading....

Rais Kikwete amtumia rambirambi RC wa Pwani

Posted on: September 15, 2011 - jomushi
Rais Kikwete amtumia rambirambi RC wa Pwani

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Hajat Amina Mrisho kufuatia vifo vya watu 10…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari