Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 116

Category: Habari za Nyumbani

Wanafunzi Waliosoma Shule ya Sekondari Bwawani Waitembelea

Posted on: July 24, 2016 - jomushi
Post Tags: mwanafunzi
Wanafunzi Waliosoma Shule ya Sekondari Bwawani Waitembelea

   Baadhi ya wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari Bwawani tukiwa katika picha ya pamoja wakati wa kuelekea kuitembelea shule yetu hiyo.  Mwalimu Leornad Chintowa akiwakaribisha…

Continue Reading....

Wanafunzi Watarajiwa UDSM Wafundwa Juu ya Maisha ya Chuo

Posted on: July 23, 2016July 26, 2016 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB, wanafunzi
Wanafunzi Watarajiwa UDSM Wafundwa Juu ya Maisha ya Chuo

            Bi. Sadaka Gandi (mbele) mmoja wa wawasilishaji mada katika semina hiyo akizungumza jambo kwa baadhi ya wanahabari. Semina hiyo…

Continue Reading....

Magufuli Apitishwa Kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ashinda kwa Kura Zote

Posted on: July 23, 2016July 23, 2016 - jomushi
Post Tags: CCM
Magufuli Apitishwa Kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ashinda kwa Kura Zote

  Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo hii wamemchagua Rais John Pombe Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya…

Continue Reading....

Ukaguzi wa Bunduki Dar Waliingizia Jeshi la Polisi Milioni 198

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Silaha Jeshi la Polisi
Ukaguzi wa Bunduki Dar Waliingizia Jeshi la Polisi Milioni 198

   Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna, Simon Sirro, akisisitiza jambo wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Ofisini kwake…

Continue Reading....

Clara Mtoto Asiyeona Mwenye Ndoto ya Kuwa Profesa

Posted on: July 22, 2016 - Yohana Chance
Clara Mtoto Asiyeona Mwenye Ndoto ya Kuwa Profesa

Na; Ferdinand Shayo,Arusha. Kila amtumainiye MUNGU huwa hashindwi na jambo maana tumaini lake liko. Kumekua na utamaduni wa baadhi ya watu wenye ulemavu wa aina…

Continue Reading....

Tanzania Yasaini Makubaliano Ujenzi wa Reli ya Kati Kisasa

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Serikali Tanzania
Tanzania Yasaini Makubaliano Ujenzi wa Reli ya Kati Kisasa

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imetiliana saini na Benki ya Exim ya China makubaliano ya awali ya ujenzi wa reli…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari