HASSAN Shariff amefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mbio za baiskeli ya “Vodacom Tanga Cycle Challenge 2011” baada ya kumaliza mwendo wa umbali wa kilomita…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Kikwete ngoma nzito
Sitta, Nape wasubiri huruma yake BUNDI mharibifu anazidi kuinyemelea CCM hali inayotishia mgawanyiko mkubwa miongoni mwa makada na wanachama wa chama hicho kikongwe nchini na…
Continue Reading....Serikali inakamilisha mpango wa vijana kujiunga na JKT- Rais Kikwete
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali inakamilisha mipango ya kuanzisha upya utaratibu wa vijana kujiunga na Jeshi…
Continue Reading....Pinda awataka wazazi nchini waache uongo
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka wazazi wenye uwezo wa kulipia watoto wao katika Vyuo Vikuu waache kusema uongo kwani kwa kufanya hivyo wanawakosesha watoto wa…
Continue Reading....Watakiwa kulea watoto na si kutegemea ma-house girl
Na Anna Nkinda, Maelezo WAZIRI wametakiwa kutokufuata mambo ya utandawazi bali waweke mkazo katika jukumu la kuwalea watoto wao kwa misingi na maadili ya Kitanzania…
Continue Reading....Wizara ya Elimu kuwawajibisha wanaofaulisha kinyemela
Na Janeth Mushi, Arusha NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philip Mulugo amesema Serikali ipo katika mchakato wa kuandaa waraka utakaosambazwa kwa wakaguzi…
Continue Reading....