Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imefanya hafla fupi ya kuwaaga na kuwatakia kila la kheri wachezaji wa Taifa Stars kwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Chuo Kikuu Norway kusaidia sekta ya afya Zanzibar
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar UONGOZI wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukland kiliopo Norway umeahidi kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya ikiwa…
Continue Reading....Sekondari ya Wama- Nakayama yasaidiwa vitabu 1,000
Na Anna Nkinda – Maelezo SHULE ya Sekondari ya wasichana ya WAMA-NAKAYAMA iliyopo Rufiji mkoani Pwani imepokea msaada wa vitabu 1000 kutoka kwa Taasisi ya…
Continue Reading....Ikulu yawasaidia wasiojiweza kusherekea Idd el Hajj
Na Mwandishi Wetu VIKUNDI na vituo 14 vya watoto yatima na wenye ulemavu na wazee wasiojiweza vimenufaika na zawadi ya Sikukuu ya Idd El Hajj…
Continue Reading....Rais Kikwete azungumza na mtoto wa Malkia
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Novemba 7, 2011, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtoto…
Continue Reading....Mkutano wa mafunzo ya uongozi wafunguliwa Dar
PICHANI juu ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Mahadhi (kulia) akiwa na Mchungaji, Dk. Bill Hybels (kushoto) wakimsikiliza…
Continue Reading....