Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,129

Category: Habari za Nyumbani

Mkurugenzi TCRA akanusha kutapanya fedha

Posted on: November 11, 2011 - jomushi
Mkurugenzi TCRA akanusha kutapanya fedha

Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoama MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma amepangua hoja kadhaa zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya…

Continue Reading....

Pinda:Hata wanyama hawafanyi ushoga

Posted on: November 11, 2011 - jomushi
Pinda:Hata wanyama hawafanyi ushoga

Dodoma WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezungumzia sakata la Uingereza kutishia kuinyima misaada Tanzania kama haitaruhusu ndoa za jinsia moja, akisema, “haiwezekani, kwa kuwa hata wanyama…

Continue Reading....

Wasichana 80 wa mimba za utoto wanolewa

Posted on: November 11, 2011November 11, 2011 - jomushi
Wasichana 80 wa mimba za utoto wanolewa

JUMLA ya wasichana 80 waliopata mimba katika umri mdogo na kutelekezwa na wanaume kutoka Kata za Azimio, Mtoni, Vijibweni na Kibada wilayani Temeke wamepatiwa mafunzo…

Continue Reading....

Ugiriki yapata Waziri Mkuu mpya

Posted on: November 11, 2011 - jomushi
Ugiriki yapata Waziri Mkuu mpya

MAKAMU wa zamani wa Rais wa Benki ya Ulaya, Lucas Papademos ametangazwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Ugiriki, kufuatia siku kadhaa za majadiliano. Taarifa ya…

Continue Reading....

Freeman Mbowe amburuzwa mahakamani Arusha

Posted on: November 11, 2011 - jomushi
Freeman Mbowe amburuzwa mahakamani Arusha

Na Mwandishi Wetu, Arusha MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe leo amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Arusha na…

Continue Reading....

Dk. Bilal aongoza majadiliano Mkutano wa Uwekezaji Chakula na Kilimo

Posted on: November 11, 2011November 11, 2011 - jomushi
Dk. Bilal aongoza majadiliano Mkutano wa Uwekezaji Chakula na Kilimo

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari