Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limewasili mjini Moshi leo mchana kwa ajili ya kushiriki kwenye hafla ya uzinduzi wa Kiwanda kipya…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Sarafu mpya ya Sudan Kusini yaibua utata kwa wafanyabiashara.
Ni zaidi ya miezi mitatu tangu Sudan Kusini ilipojitenga na Sudan na kupata uhuru wake mwezi Julai mwaka huu. Kama nchi mpya Sudan Kusini imekuwa…
Continue Reading....Cairo walazimisha Jeshi kukabidhi madaraka kwa Raia.
Maelfu ya watu wamekusanyika tena Medani Tahrir mjini Cairo, mkesha wa uchaguzi wa bunge uchaguzi wa kwanza tangu Rais Mubarak kuondolewa madarakani. Waandamanaji wanajaribu kuendelea…
Continue Reading....Chokochoko za Uchaguzi Mkuu Mashirika ya misaada yasikitishwa na ghasia za Congo
MASHIRIKA ya kimataifa, pamoja na Umoja wa Mataifa yamesema yanasikitishwa na ghasia zilizotokea jana katika kampeni za uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo,…
Continue Reading....JK akutana na CHADEMA, wawasilisha mapendekezo yao
*Wajumbe kukutana tena leo Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na ujumbe wa Serikali yake Novemba 27, 2011, amekutana…
Continue Reading....Zanzibar yashindwa kutamba kwa Burundi
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Zanzibar, imeshindwa kutumia fursa ya kucheza nyumbani huku ikishangilia na idadi kubwa ya mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu…
Continue Reading....