Ampigia magoti Mbatia kwa machozi, wajumbe wakataa kumsamehe CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemfukuza uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini, David kafulia na wajumbe wengine sita akiwamo aliyekuwa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
TIA wazindua mkataba wa huduma kwa mteja
Naibu Waziri wa Fedha Pereira Ame Silima (katikati) akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) jana jijini Dar es Salaam…
Continue Reading....ICC yasema mauaji ya Gadaffi ni uhalifu
*Yaanza kuwasaka waliohusika wahukumiwe KIFO cha aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi ‘kimezua utata’ na kudaiwa kuwa waliohusika kumuua wamefanya uhalifu wa kivita, amesema Kiongozi…
Continue Reading....Ajali mbaya yaua watoto 4 (Video)
Mtandao huu unasikitika kuwajulisha kuwa video ya ajali hii inasikitisha sana unapoiangalia, hivyo tunaomba radhi kwa hilo.
Continue Reading....JK ashauri kila nchi kutunga sheria kupambana na ukatili
Na Mwandishi Maalumu, Uganda RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Nchi za Maziwa Makuu…
Continue Reading....JK ateua mabalozi, Marmo, Dk Batilda, Dk Kamala waula
Na Joachim Mushi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amefanya uteuzi wa nafasi za mabalozi wa Tanzania kwa nchi tano, huku mawaziri…
Continue Reading....