Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,066

Category: Habari za Nyumbani

NCCR-Mageuzi wampongeza JK mchakato wa Katiba Mpya

Posted on: January 22, 2012 - jomushi
NCCR-Mageuzi wampongeza JK mchakato wa Katiba Mpya

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha National Convention for Construction and Reform-Mageuzi (NCCR-Mageuzi) kimempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kusimamia suala la Katiba vizuri na kwa umakini…

Continue Reading....

Muscat to Dar expedition flags off

Posted on: January 22, 2012 - jomushi
Muscat to Dar expedition flags off

By Maryam Khalfan In a historic and cheerful moment, the team of Omani Adventurers who are attempting to challenge the country roads by travelling from…

Continue Reading....

Serikali yasitisha ugeuzaji vyuo vya ufundi kuwa vyuo vikuu

Posted on: January 22, 2012 - jomushi
Serikali yasitisha ugeuzaji vyuo vya ufundi kuwa vyuo vikuu

SERIKALI imesitisha utaratibu wa kuvibadili Vyuo vya Ufundi kuwa Vyuo Vikuu ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafundi sanifu na uhaba wa vyuo vinavyotoa…

Continue Reading....

Wateja CRDB sasa kuweka na kutoa fedha kwa M-Mpesa

Posted on: January 22, 2012 - jomushi
Wateja CRDB sasa kuweka na kutoa fedha kwa M-Mpesa

WATEJA wa Vodacom M-Mpesa wenye akaunti katika benki ya CRDB sasa wanauwezo wa kuweka na kutoa fedha kutoka katika akaunti zao kupitia simu ya mkononi…

Continue Reading....

Mashambulio ya wanawake wavaa suruali yakithiri Malawi

Posted on: January 21, 2012 - jomushi
Mashambulio ya wanawake wavaa suruali yakithiri Malawi

TAKRIBANI watu 3,000 wamekusanyika Blantyre nchini Malawi kupinga mashambulio dhidi ya wanawake wanaovaa suruali. Baadhi ya wachuuzi wa kike wiki hii walipigwa na kuvuliwa nguo…

Continue Reading....

Milipuko yatikisa mji wa Kano, Nigeria al-shabab yahusishwa

Posted on: January 21, 2012 - jomushi
Milipuko yatikisa mji wa Kano, Nigeria al-shabab yahusishwa

Watu kadhaa wameripotiwa kuuawa kwenye milipuko iliyotokea katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria. Vituo vya Polisi pamoja na makao makuu ya Polisi eneo hilo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari