Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,061

Category: Habari za Nyumbani

Ujenzi wa Barabara ya Korogwe-Same kuanza

Posted on: January 26, 2012January 26, 2012 - jomushi
Ujenzi wa Barabara ya Korogwe-Same kuanza

*Dk. Magufuli, Kilango washuhudia mkataba wa ujenzi Na Mwandishi Wetu UJENZI wa sehemu ya barabara kati ya Korogwe kupitia Mkumbara hadi Same yenye urefu wa…

Continue Reading....

Makamu wa Rais ziarani Muheza Tanga

Posted on: January 26, 2012 - jomushi
Makamu wa Rais ziarani Muheza Tanga

Continue Reading....

Pinda asema Serikali itaendelea kuboresha sekta ya umma, sheria na fedha

Posted on: January 26, 2012 - jomushi
Pinda asema Serikali itaendelea kuboresha sekta ya umma, sheria na fedha

Na Mwandishi Maalumu WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kufanya maboresho kwenye sekta za umma, fedha, sheria za Serikali za Mitaa ili…

Continue Reading....

Steven Galinoma afariki dunia!

Posted on: January 26, 2012January 26, 2012 - jomushi
Steven Galinoma afariki dunia!

ALIYEKUWA Mbuge wa Jimbo la Kalenga, Steven Galinoma amefariki dunia leo mapema. Taarifa zaidi zinasema kuwa Galinoma amefariki dunia leo asubuhi mjini Iringa ndani ya…

Continue Reading....

Naibu Jaji Mkuu Kenya asimamishwa kazi

Posted on: January 25, 2012 - jomushi
Naibu Jaji Mkuu Kenya asimamishwa kazi

*Yaundwa tume chini ya Jaji Mtanzania kumchunguza RAIS wa Kenya, Mwai Kibaki amemsimamisha kazi Naibu Jaji Mkuu, Nancy Baraza na kuunda jopo la majaji ambalo…

Continue Reading....

Ikulu yakanusha habari ya Tanzania Daima

Posted on: January 25, 2012 - jomushi
Ikulu yakanusha habari ya Tanzania Daima

*Yabainisha faida ya ziara ya JK Davos Na Mwandishi Maalumu GAZETI la Tanzania Daima la leo, Jumatano, Januari 25, 2012, kwenye ukurasa wake wa kwanza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari