Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,054

Category: Habari za Nyumbani

CCM yapinga posho mpya za wabunge, yataka wasikie kilio cha wananchi

Posted on: February 1, 2012 - jomushi
CCM yapinga posho mpya za wabunge, yataka wasikie kilio cha wananchi

Na Mwandishi Wetu KUNA kila dalili kwamba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi haujaridhika na kiwango ambacho wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Continue Reading....

Wanajiolojia watakiwa kuwaelimisha wachimbaji

Posted on: February 1, 2012February 1, 2012 - jomushi
Wanajiolojia watakiwa kuwaelimisha wachimbaji

Na Mwandishi Wetu, Arusha WATAALAMU wa jiolojia nchini wametakiwa kuwaelimisha wachimbaji wa madini ya Tanzanite hususani wachimbaji wadogo mbinu bora na za kisasa za kuendesha…

Continue Reading....

Moi yafunga huduma za kliniki

Posted on: February 1, 2012 - jomushi
Moi yafunga huduma za kliniki

MGOMO wa madaktari umezidi kutikisa na kuathiri huduma za afya katika hospitali kuu nchini, huku Taasisi ya Mifupa (Moi) ikitangaza rasmi kufunga kliniki zote zinazohudumia…

Continue Reading....

Rais Kikwete amkana Pinda, Makinda

Posted on: February 1, 2012 - jomushi
Rais Kikwete amkana Pinda, Makinda

Asema aliwataka watumie busara, Spika asisitiza aliruhusu, Wananchi wachachamaa SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mkuu, Mizengo Pinda kusema tayari Rais Jakaya Kikwete amesaini kuidhinisha…

Continue Reading....

JK akana kubariki posho mpya za wabunge

Posted on: January 31, 2012 - jomushi
JK akana kubariki posho mpya za wabunge

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amekana taarifa za kwamba ameridhia la kiwango kipya cha posho za wabunge (yaani sh. 330,000 kwa siku)…

Continue Reading....

Tanzania kujenga Makao Makuu ya Mahakama ya Haki za Binadamu

Posted on: January 31, 2012 - jomushi
Tanzania kujenga Makao Makuu ya Mahakama ya Haki za Binadamu

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa Tanzania itagharamia ujenzi wa makao makuu ya kudumu ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari