Category: Habari za Nyumbani
JK ataka Mahakama ianze kutoa adhabu mbadala
Na Joachim Mushi RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kutolewa kwa adhabu mbadala na mahakama kutapunguza msongamano mkubwa wa wafungwa gerezani, hivyo kuishauri taasisi hiyo…
Continue Reading....Rais Kikwete akutana na Baraza la NGO’s taifa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Asasi Zisizokuwa za Kiserikali (AZISE) wamekutana Februari 3, 2012, Ikulu, Dar es…
Continue Reading....Baa la njaa limekwisha Somalia
UMOJA wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa baa la njaa nchini Somalia lililotangazwa kulikumba taifa hilo hivi karibuni sasa limefikia kikomo. Umoja huo umesema hali imeimarika…
Continue Reading....CCM yakabidhi mifuko 620 ya saruji ujenzi madarasa Musoma
Na Bashir Nkoromo, Musoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeukabidhi mkoa wa mara mifuko 600 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya shule za…
Continue Reading....Wambura aendelea kuitesa TFF
Na Joachim Mushi SUALA la mgogoro wa aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoani Mara (FAM), Michael Wambura ambaye…
Continue Reading....