Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,045

Category: Habari za Nyumbani

JK akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Posted on: February 9, 2012 - jomushi
JK akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Na Mwandishi Maalumu RAIS Jakaya Mrisho Kikwete, leo katika Ikulu ya Dar es Salaam, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje…

Continue Reading....

NHC yatoa taarifa za mteja aliyewatishia kwa bastola, yataja mafanikio ya zoezi la ukusanyaji madeni

Posted on: February 9, 2012 - jomushi
NHC yatoa taarifa za mteja aliyewatishia kwa bastola, yataja mafanikio ya zoezi la ukusanyaji madeni

Na Joachim Mushi SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeweka hadharani taarifa za madeni ya mpangaji wao Kibore Macho Mzee ambae hivi karibuni aliwatishia kwa…

Continue Reading....

Breaking Newz: Bunge latoa maelekezo serikalini mgomo wa madaktari

Posted on: February 9, 2012February 9, 2012 - jomushi
Breaking Newz: Bunge latoa maelekezo serikalini mgomo wa madaktari

BAADA ya Kamati ya Bunge Huduma za Jamii kumaliza kazi ya kufanya mazungumzo kati ya Serikali na madaktari walioko katika mgomo, imewasilisha taarifa yake bungeni…

Continue Reading....

Pinda arudi DSM kushughulikia mgomo

Posted on: February 8, 2012February 8, 2012 - jomushi
Pinda arudi DSM kushughulikia mgomo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amerejea jijini Dar es Salaam akitokea Dodoma kwa ajili ya kushughulikia mgomo wa madaktari ambao unaendelea maeneo mbalimbali ya nchi, na…

Continue Reading....

Kesi ya Lema kuanza kusikilizwa kesho

Posted on: February 8, 2012 - jomushi
Kesi ya Lema kuanza kusikilizwa kesho

Na Janeth Mushi, Arusha UPANDE wa wadai katika kesi ya kupinga matokeo ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) unatarajia kuanza kutoa ushahidi wake…

Continue Reading....

‘Tumeimarisha ulinzi Shule ya Ndanda’

Posted on: February 8, 2012 - jomushi
‘Tumeimarisha ulinzi Shule ya Ndanda’

Na Magreth Kinabo, MAELEZO SERIKALI imesema imeimarisha ulinzi katika Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ndanda kufuatia tishio la vurugu linalodaiwa kutaka kufanywa na baadhi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari