Na Mwandishi Wetu, Moshi IMEBAINIKA kuwa baadhi ya wananchi waishio maeneo ya mipakani mwa nchi, wamekuwa na tabia ya kuharibu mipaka hiyo kwa kuondoa mawe…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Nahodha: Sijui DCI Manumba alikoitoa ripoti ya Mwakyembe
*Asems uchunguzi unaendelea na matokeo atayatangaza yeye, ataka Manumba aulizwe mwenyewe chanzo cha taarifa WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha amesema uchunguzi kuhusiana…
Continue Reading....Waliojitoa CUF waanzisha ADC
ALIYEKUWA Meneja wa Kampeni za Urais wa CUF mwaka 2010, Said Miraji na wenzake jana waliwasilisha rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa maombi ya…
Continue Reading....Polisi Dar wakamata bunduki 2, risasi 93
Na Mwandishi Wetu JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekamata bunduki mbili, risasi 93 pamoja na watuhumiwa 313, katika kipindi cha Januari…
Continue Reading....Kilimanjaro Marathoni zazidi kuongeza washiriki
Na Mwandishi Wetu MBIO za kujifurahisha za kilometa 5 za (Vodacom 5KM fun run) ambazo ni sehemu ya mbio za Kilimanjaro Marathoni zimezidi kujizolea umaarufu…
Continue Reading....Wanachama 136 wajiengua CUF
Mzimu wa kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, na wenzake 10, umezidi kukiandama Chama cha Wananchi (CUF), baada ya wanachama wake 136,…
Continue Reading....