Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 1,018

Category: Habari za Nyumbani

Serikali yaanza kuvitwaa viwanda vilivyotelekezwa

Posted on: March 15, 2012 - jomushi
Serikali yaanza kuvitwaa viwanda vilivyotelekezwa

Na Mwandishi Wetu, Moshi WIZARA ya Viwanda na Biashara imeanza mchakato wa kufuatilia viwanda 15 vilivyokufa toka kwa wawekezaji ili kuvunja mikataba yao na kuwapa…

Continue Reading....

Dk. Magufuli atunukiwa uanachama wa heshima wa Taasisi ya Wahandisi

Posted on: March 15, 2012 - jomushi
Dk. Magufuli atunukiwa uanachama wa heshima wa Taasisi ya Wahandisi

TAASISI ya Wahandisi Tanzania (Institution of Engineers Tanzania – IET) imemkabidhi Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli (Mb) Cheti cha Uanachama wa Heshima ya…

Continue Reading....

Dk Shein azungumza na MCT

Posted on: March 14, 2012 - jomushi
Dk Shein azungumza na MCT

Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amekutana na uongozi wa Baraza la Habari Tanzania…

Continue Reading....

Nitawaacha Watanzania wenye afya njema-Rais Kikwete

Posted on: March 14, 2012 - jomushi
Nitawaacha Watanzania wenye afya njema-Rais Kikwete

Na Magreth Kinabo–MAELEZO RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali yake itafanya kila iwezavyo kuhakikisha inanatoa huduma bora za afya na za kisasa ili taifa…

Continue Reading....

Serengeti Breweries yatoa mil 10.92 kuwazawadia waandishi wa habari

Posted on: March 14, 2012 - jomushi
Serengeti Breweries yatoa mil 10.92 kuwazawadia waandishi wa habari

Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imetoa jumla ya sh. milioni 10,925,000 fedha ambazo zitatumika kuwazawadia waandishi wa habari ambao watashinda katika…

Continue Reading....

Zanzibar imeweka milango wazi kwa wawekezaji-Dk Shein

Posted on: March 14, 2012 - jomushi
Zanzibar imeweka milango wazi kwa wawekezaji-Dk Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza kuwa Zanzibar imeweka milango wazi kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari