Usajili unaendelea Mlimani City Jijini Dar es salaam. Wananchi mbalimbali wakiendelea na Usajili wa mashindano ya Kili Half Marathon kwenye banda la Tigo jijini…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Mashindano Kombe la Standard Chartered 2017 Awamu ya Pili Yazinduliwa
Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi (katikati) akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay…
Continue Reading....RC Atembelea Maandalizi ya Tamasha la Sauti za Busara
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayuob Mohammed Mahmoud akiwa na Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said…
Continue Reading....Ugomvi wa FA na Bunge la Uingereza Lafikia Pabaya
Hofu imeanza kutanda kwa mashabiki wa soka nchini humo jambo hili linaweza kuwatoa Uingereza katika michuano ijayo ya kombe la dunia nchini Russia ,Endapo bunge…
Continue Reading....Timu ya Wanahabari Iringa Yapigwa Tafu na Mbunge
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akimkabidhi mwenyekiti wa waandishi wa habari mkoani Iringa moja ya jezi alizotoa kwa waandishi wa habari…
Continue Reading....Tamasha la 14 la Sauti za Busara 2017 Kutoka ‘Kivingine’
WAKATI Tamasha la 14 la Sauti za Busara limebakiza siku chache kufanyika pale Mji Mkongwe, Zanzibar 9-12/Februari kwa mara ya kwanza tangu kuanza…
Continue Reading....