Lil Wayne ametangaza kwamba amestaafu kutoka kwenye tasnia ya muziki. Aliandika kwenye Twitter: “Sasa sijiwezi tena, haka kiakili, na naondoka kwa staha na nashukuru mashabiki…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Hizi ni Sababu 13 Zinazowafelisha Wanamuziki wa Kike Bongo
1. Huwa hawajiamini 2. Wanapenda kutafuniwa yaani hawapendi kufanya kazi za kuchafuka kama za kufuatilia mambo yao wanataka aje mtu awafanyie 3. Siyo washindani ni…
Continue Reading....Tigo Fiesta Mjini Shinyanga Inatisha…!
Msanii wa Bongo Fleva Linah akiwaburudisha wakazi wa Shinyanga katika Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika katika Uwanja wa Nje wa Kambarage Mjini Shinyanga mwishoni…
Continue Reading....Diana Edward Ndiye Miss Kinondoni 2016…!
Malkia wa Kinondoni 2016 Diana Edward ndiye huyu hapa. Warembo hao wakiserebuka wakati wakijitambulisha. Wadau wakifuatilia kwa karibu shindano hilo. Washiriki wa shindano hilo…
Continue Reading....Kuhusu Kessy Kutua Yanga Hali Bado Sio Swali
Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji iimeahirisha kikao chake kilichokuwa kikae kesho Jumapili Septemba 4, 2016 kutoa hukumu ya shauri la mchezaji Hassan…
Continue Reading....Huu Mwaka Lazima Mmoja Aitwe Mchawi wa Mwenzake
Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola amemwacha nje kiungo wa kati wa timu hiyo yaya Toure katika kikosi chake cha kombe la vilabu bingwa Ulaya…
Continue Reading....