Tottenham imekosa nafasi ya kusogea juu katika orodha ya Premier League – angalau kwa saa kadhaa – baada ya kuzuiwa kwa sare ya 0-0 kwa…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Ubabaishaji Wamkimbiza Mwandaaji Miss Tanzania Kanda Kaskazini
Na Woinde Shizza, Arusha MWANDAAJI wa Tamasha la Miss Tanzania Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Mwandago Entertainment Ltd,Faustine Mwandago ametangaza kujiondoa rasmi kuandaa tamasha hilo…
Continue Reading....Stewart Hall Apata Bonge la Dili Nchini Kenya
Klabu ya AFC Leopards imetangaza kumsaini kocha wa zamani wa Azam FC Stewart Hall kwa mkataba wa miaka miwili kama kocha mkuu mpya wa klabu…
Continue Reading....Yanga Yang’ara, Azam Wabaniwa Tena
YANGA SC imejiimarisha kidogo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Toto…
Continue Reading....FA Yamtaka Mourinho Kujieleza
Shirikisho la Soka England (FA) limemwandikia barua Meneja wa Manchester United Jose Mourinho likimtaka ajieleze kuhusu matamshi yake juu ya mwamuzi Anthony Taylor ambaye Jumatatu…
Continue Reading....Kocha wa Arsenal Atabili Makubwa kwa Walcot
Kocha wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa hakuwahi kufikiria kwamba angemuuza mshambuliaji wa Uingereza Theo Walcot msimu uliopita. Walcott alianza mechi 15 za…
Continue Reading....