Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro kutoka Kampuni ya Bia Tanzania imeondoka leo Ijumaa saa 7.15 mchana…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Mwanamuziki Mkongo Nchini Canada Afariki Dunia
Mwimbaji na mtunzi mwenye sifa tele nchini Canada, Leonard Cohen, amefariki akiwa na umri wa miaka 82. Alizaliwa huko Montreal na kuanza taaluma ya utunzi…
Continue Reading....Vincent Kompany Aponea Chupuchupu
Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany hana jeraha lolote, licha ya kutolewa kwake katika mechi waliotoka sare ya bao moja kati ya Ubelgiji na Uholanzi.…
Continue Reading....Wenger Awapigia Magoti Chile
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameiomba Chile kutomuweka hatarini mshambuliaji Alexis Sanchez mechi ya taifa hilo ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay.…
Continue Reading....Madaktari Manchester United Wamchafua Mourinho
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anachunguza kila kitu kuhusu kikosi chake cha kwanza baada ya kusikitishwa na utamaduni aliorithi katika klabu hiyo. Mourinho inadaiwa…
Continue Reading....Naibu Spika Dk Tulia Asakata Mpira wa Pete na Timu ya Bunge
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza…
Continue Reading....