Baada ya timu kumi na sita kufuzu katika hatua ya kumi na sita bora ya michuano ya klabu bingwa ulaya, UEFA Champions Legaue Droo ya…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
TFF Yachunguza Kifo cha Mchezaji wa Mbao fc
KAMATI ya Tiba ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inafanyia uchunguzi kifo cha mchezaji wa Mbao FC, Ismail Mrisho Khalfan aliyefariki jana wakati wa mchezo…
Continue Reading....Mourinho Kuchunguzwa Kwa ukwepaji wa Ulipaji Kodi
Mbunge mmoja nchini Uingereza amesema kuwa mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anafaa kuchunguzwa na maafisa wa Uingereza kufuatia madai kwamba alitumia kampuni za kigeni…
Continue Reading....Wamareka Waanza Kung’ara Tour of Rwanda
Mmarekani Ruggy Timothy ndiye aliyeshinda raundi ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya mbio za kimataifa za baiskeli maarufu Tour of Rwanda yaliyoanza mjini Kigali.…
Continue Reading....Robert Lewandowski Azua Balaa Uwanjani
Mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski aliangukiwa na fashifashi iliyorushwa kutoka jukwaa la watazamaji katika pambano lililokuwa na hamasa nyingi kati ya Poland na Romania. Mshambuliaji…
Continue Reading....Bodi ya Filamu Yawafunda Wasanii wa Filamu Mwanza
Afisa Uendeshaji na Masoko kutoka Shirika la Pensheni la PPF Kanda ya Ziwa, Khatibu Mussa Khatibu (kulia), akitoa semina kuhusu Umuhimu wa wasanii wa…
Continue Reading....