Rais wa FIFA Gianni Infantino amefuta uwezekano wa kuipokonya Urusi kibali cha kuandaa Dimba la Kombe la Dunia 2018 kufuatia matokeo ya karibuni ya ripoti…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Ridhiwani Kikwete na Kauli ya Matumaini kwa Wasanii Tanzania
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete amesema anatamani kuona kazi za wasanii wa Tanzania zinatambuliwa na wasanii hao kupata faida juu ya kazi…
Continue Reading....TFF Yaweka Masharti Ligi Kuu Bongo
Duru la Pili la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi Desemba 17 kwa michezo minne kabla ya michezo mingine minne kufanyika…
Continue Reading....Oscar Kuwapiku Mesi, Ronaldo Kimpunga
Mchezaji wa Chelsea Oscar anatarajiwa kuwa mchezaji soka anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani atakapohamia Ligi Kuu ya Uchina mwezi Januari. Shanghai SIPG wanatarajiwa kulipa £60m…
Continue Reading....Ronaldo Amshinda Tena Messi Ballon d’Or
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi na kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or hii ikiwa ni kwa…
Continue Reading....Arsenal Wakabidhiwa Bayern Munich UEFA
Arsenal wamepangwa kucheza na Bayern Munich, Leicester City watakutana na Sevilla nao Manchester City wakabiliane na Monaco katika hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu…
Continue Reading....