Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 94

Category: Trending

LSF Yatoa Msaada wa Laptop kwa Wasaidizi wa Kisheria

Posted on: February 3, 2017February 3, 2017 - jomushi
LSF Yatoa Msaada wa Laptop kwa Wasaidizi wa Kisheria

                MFUKO wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF) umekabidhi laptop 170 kwa asasi mbalimbali zinazotoa msaada wa…

Continue Reading....

Timu ya Wanahabari Iringa Yapigwa Tafu na Mbunge

Posted on: February 3, 2017 - jomushi
Post Tags: Mpira
Timu ya Wanahabari Iringa Yapigwa Tafu na Mbunge

Mbunge  wa  viti  maalum  mkoa wa  Iringa Ritta Kabati (CCM) akimkabidhi mwenyekiti wa waandishi wa habari mkoani Iringa moja ya jezi alizotoa kwa waandishi wa habari…

Continue Reading....

Wanausalama wa Prof Lipumba Wawapiga Mkwala ‘Wafuasi’ wa Seif

Posted on: February 3, 2017 - jomushi
Wanausalama wa Prof Lipumba Wawapiga Mkwala ‘Wafuasi’ wa Seif

Wafuasi wa chama hicho wakiwa kwenye mkutano huo. TAARIFA KWA UMMAWaandishi wa Habari, nimewaiteni hapa leo kwa ajili ya kuwapa Taarifa za hujuma zinazopangwa kufanywa…

Continue Reading....

Rais Magufuli Amteuwa Jenerali Venance Mabeyo Mkuu wa Majeshi Tanzania

Posted on: February 3, 2017February 3, 2017 - jomushi
Rais Magufuli Amteuwa Jenerali Venance Mabeyo Mkuu wa Majeshi Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, leo Tarehe 02 Februari, 2017 amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu…

Continue Reading....

Mwongozo Mpango wa Ujenzi wa Barabara Wazinduliwa

Posted on: February 3, 2017 - jomushi
Post Tags: barabarani
Mwongozo Mpango wa Ujenzi wa Barabara Wazinduliwa

  SERIKALI imezindua mwongozo wa mpango na usanifu wa ujenzi wa barabara zinazopitisha magari machache kwa lengo la kutoa maelekezo na kuwawezesha wahandisi wanaofanya usanifu…

Continue Reading....

Mahakama Zamkera JPM, ni Kuhusu Kesi za Ukwepaji wa Kodi

Posted on: February 3, 2017 - jomushi
Post Tags: Mahakama
Mahakama Zamkera JPM, ni Kuhusu Kesi za Ukwepaji wa Kodi

Mahakama Zamkera JPM, ni Kuhusu Kesi za Ukwepaji wa Kodi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameelezea kusikitishwa kwake…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari