Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 50

Category: Trending

Emmanuel Macron Rais Mpya Taifa la Ufaransa

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Post Tags: Paris Ufaransa
Emmanuel Macron Rais Mpya Taifa la Ufaransa

EMMANUEL Macron ameshinda Uchaguzi wa Urais wa Ufaransa. Matokeo yanaonesha Macron amemuacha kwa mbali mpinzani wake Bi Marine Le Pen kwa kujinyakulia asilimia 65 ya…

Continue Reading....

Katibu wa NEC CCM Zanzibar Awataka Wanachama Kutumia Fursa ya Uchaguzi

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Katibu wa NEC CCM Zanzibar Awataka Wanachama Kutumia Fursa ya Uchaguzi

Na Is-Haka Omar, Zanzibar KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar, Waride Bakari Jabu amewataka wanachama wa CCM Tawi…

Continue Reading....

Msiba Mzito Arusha, Majonzi Yatawala, Maombolezo Kila Kona…!

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Post Tags: Msiba
Msiba Mzito Arusha, Majonzi Yatawala, Maombolezo Kila Kona…!

    JIJI la Arusha na viunga vyake leo limezizima kwa manjozi wakati miili ya wanafunzi 32, walimu Wawili na Dereva wao mmoja wote kutoka shule…

Continue Reading....

NBS: Mfumuko wa Bei ya Bidhaa Tanzania ‘Wang’ang’ania’ 6.4%

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
NBS: Mfumuko wa Bei ya Bidhaa Tanzania ‘Wang’ang’ania’ 6.4%

 Mkutano na wanahabari ukiendelea. Wanahabari wakichua taarifa hiyo.     Na Dotto Mwaibale   MFUMUKO wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka umebaki kuwa…

Continue Reading....

TGGA Wautetea Utalii wa Mlima Kilimanjaro Nchini Mexico

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Post Tags: Sekta ya Utalii
TGGA Wautetea Utalii wa Mlima Kilimanjaro Nchini Mexico

   Mmoja wa viongozi wa vijana wa Chama cha  Tanzania Girl Guides  (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa (kulia), akilakiwa na Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace…

Continue Reading....

Wananchi Waiomba Serikali Kukamilisha Daraja SIBITI

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Wananchi Waiomba Serikali Kukamilisha Daraja SIBITI

    WANANCHI wa kata ya Mpambala, wilaya ya Mkalama mkoani Singida wameiomba Serikali kuhakikisha inamaliza ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti haraka iwezekanavyo ili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari