Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Trending
  • Page 123

Category: Trending

Bohali la Kampuni ya 7 General Lateketea kwa Moto..!

Posted on: November 11, 2016 - jomushi
Bohali la Kampuni ya 7 General Lateketea kwa Moto..!

Vikosi mbalimbali vya zima moto kutoka Serikali na Makampuni binafsi wakiendelea na juhudi za kuuzima moto huo.  Baadhi ya watu mbalimbali wakiendelea kushuhudia tukio hilo…

Continue Reading....

Mungai Alivyoagwa Ukumbi wa Karimjee

Posted on: November 11, 2016 - Yohana Chance
Mungai Alivyoagwa Ukumbi wa Karimjee

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Joseph Muungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar…

Continue Reading....

Wenger Awapigia Magoti Chile

Posted on: November 11, 2016 - Yohana Chance
Wenger Awapigia Magoti Chile

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameiomba Chile kutomuweka hatarini mshambuliaji Alexis Sanchez mechi ya taifa hilo ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay.…

Continue Reading....

JKT Oljoro Watoa Madawati 537 Halmashauri ya Serengeti

Posted on: November 10, 2016 - Yohana Chance
JKT Oljoro Watoa Madawati 537 Halmashauri ya Serengeti

Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini. Kaimu…

Continue Reading....

Bayport Yakabidhi Madarasa Yenye Thamani ya Milioni 200 Kituoni KCVC

Posted on: November 9, 2016 - jomushi
Bayport Yakabidhi Madarasa Yenye Thamani ya Milioni 200 Kituoni KCVC

Watoto  wanaolelewa katika  kituo cha KCVC wakiimba  wimbo  maalumu.     Afisa  Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga  akiongea na wageni  waalikwa  katika hafla ya…

Continue Reading....

Naibu Spika Dk Tulia Asakata Mpira wa Pete na Timu ya Bunge

Posted on: November 9, 2016 - jomushi
Naibu Spika Dk Tulia Asakata Mpira wa Pete na Timu ya Bunge

  Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge  akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari