
KATIBU Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo ametangaza muda huu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo aliyesimamishwa hivi karibuni hana kosa lolote dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake hivyo anarejea kazini mara moja.
Taarifa ambazo dev.kisakuzi.com imezipata hii ni kwa mujibu wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali baada ya kupewa kazi ya kuchunguza tuhuma zake za kudaiwa kuchangiza mamilioni ya fedha ili kushinikiza bajeti ya wizara yake ipite. Mtandao huu utakuletea habari kwa kina baada ya muda mfupi ujao. fuatilia gazeti mtandao; www.thehabari.com kwa habari zaidi
brinkka2011 says: How is it that just anyone can publish a blog and get as popular as this? Its not like youve said anything incredibly impressive more like youve painted a quite picture through an issue that you know nothing about! I dont want to sound mean, right here. But do you genuinely think that you can get away with adding some quite pictures and not truly say something?
Please tell me that youre going to keep this up! Its so great and so important. I cant wait to read far more from you. I just feel like you know so substantially and know how to make people listen to what youve got to say. This weblog is just also cool to be missed. Excellent stuff, really. Please, PLEASE keep it up!
xyxytodwhy.2011
I just like the valuable info you provide in your articles. I will bookmark your weblog and test once more here frequently. I am moderately certain I will be told many new stuff right here! Good luck for the following!