
![]() |
| Meneja Masoko na mauzo na wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd Christopher Loiruk akizungumza wakati wa kukabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni katika vijiji hivyo. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akipokea msaada wa unga kutoka kwa Meneja mwajiri wa kampuni ya onite Bottlers, Joyce Sengoda kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga akizungumza mara baada ya kupokea msaada kutoka kampuni ya Bonite Botttlers kwa ajili ya waathirika wa mafuriko. |
![]() |
| Eneomoja wapo ambalo wakazi wake wameathirika kwa mafuriko katika kijiji cha Kilungu. |
![]() |
| Msaada wa maji ambayo yametolewa kwa waathirika wa mafuriko katika vijiji hivyo ili kupunguza kutokea kwa maradhi ya tumbo yanayoweza kutokea kwa matumizi ya maji machafu. |
![]() |
| Unga wa ngano ukishushwa kwa ajili ya waathirika hao. |
![]() |
| Baadhi ya nyumba zilizo athirika na mafuriko hayo. |
![]() |
| Baadhi ya wakazi wa vijiji hivyo ambao baadhi yao bado wako katika kambi iliyopo kijiji cha Kilungu wakiishi katika zahanati ya kijiji hicho. |




















