
![]() |
| Baadhi ya wananchi wakishuhudia ufunguzi rasmi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi. |
![]() |
| Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani. |
![]() |
| Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini Moshi |
![]() |
| Wafanyakazi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakionesha Nyuso za furaha baada ya tawi la Benki hiyo kufunguliwa rasmi . |
![]() |
| Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Mkombozi ,Dkt Eve Hawa Sinare akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo. |
![]() |
| Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi wa tawi la Benki ya Mkombozi mjini Moshi. |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Mkombozi,Method Kashonda akizungumza wakati wa ufunguzi wa Benki hiyo tawi la Moshi. |
![]() |
| Watawa kutoka Mashirika mbalimbali ya kitawa ya kanisa katoliki waliohudhuria ufunguzi wa tawi hilo mjini Moshi. |
![]() |
| Baadhi ya wanafunzi wa kituo cha Mafunzo Community Center wakifuatilia uzinduzi wa tawi la Benki ya Mkombozi. |
![]() |
| Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini Moshi. |
![]() |
| Wafanyakazi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi. |
![]() |
| Baba Askofu Isaac Aman akiweka pesa katika akaunti mara baada ya kufungua tawi la Benki hiyo mjini Moshi. |
![]() |
| Baba Askofu Isaac Amani akizungumza na waandishi wa habari, |
![]() |
| Wafanyakazi wa Benki hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Baba Askofu Isaac Aman mara baada ya kufungua tawi hilo mjini Moshi. |
![]() |
| Baba Askofu Isaac Amani akiwa katika picha ya pamoja na watawa. |
|
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |




















