Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 97

Author: jomushi

Sekta ya Uchukuzi Yaelekea Dodoma, Wamfuata Waziri Mkuu

Posted on: February 13, 2017 - jomushi
Sekta ya Uchukuzi Yaelekea Dodoma, Wamfuata Waziri Mkuu

Na Biseko Ibrahim WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka watumishi wa Wizara hiyo Sekta ya Uchukuzi kutumia vizuri fursa ya kuhamia…

Continue Reading....

Makonda Akabidhi Majina Mengine ya Watuhumiwa Dawa za Kulevya

Posted on: February 13, 2017 - jomushi
Post Tags: Dawa za Kulevya
Makonda Akabidhi Majina Mengine ya Watuhumiwa Dawa za Kulevya

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amekabidhi orodha nyingine ya watuhumiwa wa dawa za kulevya ili waweze kushughulikiwa na Mamlaka Mpya…

Continue Reading....

Kilimanjaro Yataja Majina ya Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya

Posted on: February 13, 2017 - jomushi
Post Tags: Dawa za Kulevya
Kilimanjaro Yataja Majina ya Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Wilbroad Mutafungwa akitaja majina ya watu wanadaiwa kujihusisha na usafirishaji, uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya.…

Continue Reading....

CSSC Kuadhimisha Miaka 25 ya Huduma kwa Mafanikio Makubwa

Posted on: February 13, 2017 - jomushi
CSSC Kuadhimisha Miaka 25 ya Huduma kwa Mafanikio Makubwa

CSSC yajivunia hospitali 102 na taasisi 1006 nchi nzima TUME ya Kikristo ya Huduma za jamii (CSSC), inatarajia kuadhimisha miaka ishirini na mitano (25), tangu kuanzishwa…

Continue Reading....

Habari Hazichangii Kutokomeza Umasikini kwa Wanaoishi Vijijini…!

Posted on: February 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Vyombo vya Habari
Habari Hazichangii Kutokomeza Umasikini kwa Wanaoishi Vijijini…!

Taarifa ya utafiti huo ikiendelea kutolewa. Mwanahabari Hilda wa gazeti la Daily News akiwa mzigoni. Maofisa wa LHRC wakifuatilia mkutano huo.     Na Dotto…

Continue Reading....

Wizara ya Fedha Yatekeleza Agizo la Magufuli, Yamlipa Mkandarasi Terminal 3

Posted on: February 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Miundombinu
Wizara ya Fedha  Yatekeleza Agizo la Magufuli, Yamlipa Mkandarasi Terminal 3

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akizungumza na Wanahabari kuhusu Wizara yake ilivyotekeleza Agizo la Rais Dkt. John Magufu kuhusu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari