Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 964

Author: jomushi

TMA Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa Kunyesha

Posted on: February 19, 2014April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: Enter your zip code here
TMA Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa Kunyesha

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya uwezekano wa kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo…

Continue Reading....

CCM Yawaadhibu Lowassa, Sumaye, Membe na Wassira…!

Posted on: February 19, 2014 - jomushi
CCM Yawaadhibu Lowassa, Sumaye, Membe na Wassira…!

Na Joachim Mushi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) hatimaye kimeanza kuchukua hatua kwa wanachama wake 6 nguli walioonekana kuanza kampeni za kugombea urais ndani ya chama…

Continue Reading....

Watano Walalamikiwa Kamati ya Maadili, Twiga Stars Vs Chipolopolo…!

Posted on: February 18, 2014 - jomushi
Watano Walalamikiwa Kamati ya Maadili, Twiga Stars Vs Chipolopolo…!

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewalalamikia wana familia watano wa mpira wa miguu kwa Kamati ya Maadili kuhusiana na udanganyifu katika mtihani wa…

Continue Reading....

Makamu wa Rais Afanya Mazungumzo na Kaimu Kamishna wa TRA

Posted on: February 18, 2014 - jomushi
Makamu wa Rais Afanya Mazungumzo na Kaimu Kamishna wa TRA

Continue Reading....

TV, Mito ya Makochi Yamfunga Jela Miaka 30 na Viboko 12

Posted on: February 18, 2014 - jomushi
TV, Mito ya Makochi Yamfunga Jela Miaka 30 na Viboko 12

Yohane Gervas, Rombo     MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Rombo imemhukumu Hilas Bahath (31) kwenda jela miaka 30 baada ya kupatikana na…

Continue Reading....

Amir Pandu Kificho Achaguliwa Mwenyekiti wa Muda Bunge la Katiba

Posted on: February 18, 2014February 18, 2014 - jomushi
Amir Pandu Kificho Achaguliwa Mwenyekiti wa Muda Bunge la Katiba

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Amir Pandu Kificho amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari