Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 933

Author: jomushi

Kamati ya PAC Yakutana na Benki Kuu ya Tanzania

Posted on: March 16, 2014 - jomushi
Kamati ya PAC Yakutana na Benki Kuu ya Tanzania

Kamati ya PAC Yakutana na Benki Kuu ya Tanzania KAMATI ya PAC Leo imekutana na Benki Kuu ya Tanzania kupokea Maelezo kuhusu fedha tshs 201…

Continue Reading....

Nyumba za Jeshi la Polisi Tanga Zilivyoteketea kwa Moto

Posted on: March 16, 2014 - jomushi
Nyumba za Jeshi la Polisi Tanga Zilivyoteketea kwa Moto

        Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la ajali. Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za…

Continue Reading....

Wananchi Rukwa Waungamkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi

Posted on: March 16, 2014 - jomushi
Wananchi Rukwa Waungamkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi

ZAIDI ya wananchi 16,828 wa Mkoa wa Rukwa wamesaini ombi la haki (petition), wakiiomba Serikali kutenga bajeti mahususi ili kuviinua vituo vya afya nchini viweze…

Continue Reading....

CCM Waanza Kusherekea Ushindi Kalenga, Waongoza Kata 11

Posted on: March 16, 2014March 16, 2014 - jomushi
CCM Waanza Kusherekea Ushindi Kalenga, Waongoza Kata 11

MATOKEO YA AWALI Yanaonesha kama Ifuatavyo:- Mpaka sasa CCM inaongoza katika kata 11 kati ya 13 TOSA no.1 CCM 98, Chadema 20, CHAUSTA 0 Ipamba…

Continue Reading....

Bondia Fadhili Awadhi Mwananyamala

Posted on: March 16, 2014 - jomushi
Bondia Fadhili Awadhi Mwananyamala

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Fadhili Awadhi amefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kuugua kwa siku kadhaa. Fadhili Awadhi alikuwa ni miongoni…

Continue Reading....

JK Apokea Ujumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma

Posted on: March 16, 2014 - jomushi
JK Apokea Ujumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Machi 16, 2014, amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Ujumbe…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari