WafanyakaziwaWizarayaViwandanaBiasharawametakiwakuongezajuhudinaubunifukatikautendajiwakaziilikuiwezeshaWizarahiyokufikiamalengoyakeiliyojiwekea. WitohuoumetolewanaWaziriwaViwandanaBiasharaMhe.DktAbdallahKigoda, wakatiakifunguaMkutanowaBaraza la WafanyakaziwaWizarahiyounaofanyikakwasikumbiliJijini Dar Es Salaam. Dkt. Kigodaamesema, WizarayaViwandanaBiasharainajukumukubwakatikakuboreshaUchumiwaNchihivyowafanyakazihawanabudikufanyakazikwabidiinaubunifuilikuiwezeshaWizarakupatamatokeoyaliyokusudiwa. “Fanyenikazikwabidii, kwamaarifanaubunifumkubwa. Epukeniuzembe, ukiritimbausionasababuzamsinginazaidiyayote, tujitangazeiliUmmaufahamukikamilifujitihadazetukatikakukuzauchumi’’. AwaliakimkaribishaMhWaziri, KatibuMkuuwaWizarahiyoBwUlediMussaamesema, UongoziwaWizarahiyoutaendeleakufanyajitihadazakuboreshamaslahiyawafanyakazi, mazingirayakufanyiakazinakuondoakerombalimbalimbalizinzowakwazawatumishi. Kwaupande wake MtoamadakatikaMkutanohuo Bi HonestaNgollykutokaambaeniAfisaElimuKazikutokaTumeyasUsuluhishinaUamuzi…
Continue Reading....Author: jomushi
Wanaharakati Wamuunga Mkono JK Kupambana na Majangili
Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr. George Nangale, akizindu rasmi kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kwa niaba ya…
Continue Reading....Matukio Uzinduzi Mradi wa Uendelezaji Sekta ya Maziwa Afrika Mashariki
Naibu waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Mh Kaika Telele akiongea na wageni waalikwa na wadau…
Continue Reading....Rais Kikwete Aanza Ziara Rasmi Uingereza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini London, Uingereza, kwa ziara rasmi ya siku tatu ya kidola, moja ya ziara…
Continue Reading....