Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 908

Author: jomushi

Dk Shein Afunga Kampeni za CCM Kugombea Ubunge Chalinze…!

Posted on: April 5, 2014April 16, 2014 - jomushi
Post Tags: Ridhiwani Kikwete
Dk Shein Afunga Kampeni za CCM Kugombea Ubunge Chalinze…!

Kinana aendelea na Ziara Yake; Mjini Sumbawanga

Continue Reading....

Watoto wa Mitaani Tanzania Wang’ara Brazil, Taifa Stars V Burundi Aprili 26

Posted on: April 5, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
Watoto wa Mitaani Tanzania Wang’ara Brazil, Taifa Stars V Burundi Aprili 26

TIMU ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imefanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia yanayofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil baada ya…

Continue Reading....

Tanzania Movie Talents Yaanza Mwanza…!

Posted on: April 5, 2014April 5, 2014 - jomushi
Tanzania Movie Talents Yaanza Mwanza…!

Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwa shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda…

Continue Reading....

Askofu Kilaini Afiwa na Baba Yake, Ikulu Yatoa Pole…!

Posted on: April 4, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
Askofu Kilaini Afiwa na Baba Yake, Ikulu Yatoa Pole…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Askofu Methodius Kilaini, akimpa…

Continue Reading....

Wasanii Mastaa wa Kuigiza Wahamamisha Wananchi Kushiriki Tanzania Movie Talents

Posted on: April 4, 2014 - jomushi
Post Tags: featured
Wasanii Mastaa wa Kuigiza Wahamamisha Wananchi Kushiriki Tanzania Movie Talents

 Msanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) akikumbatiana na Mmoja wa Mashabiki wa Filamu zake katika Eneo la Nyegezi Mwanza Jioni ya Leo wakati wasanii…

Continue Reading....

Misa ya Kumuombea Marehemu Askofu Godfrey Mhogolo, Leo Dodoma

Posted on: April 4, 2014 - jomushi
Misa ya Kumuombea Marehemu Askofu Godfrey Mhogolo, Leo Dodoma

Waumini na viongozi wa kanisa la Anglican Dayosisi ya kati wakilishusha Jeneza lilibeba mwili wa aliyekuwa askofu wa kanisa hilo Godfrey Mhogolo ulipofikishwa kwa mara…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari