Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 848

Author: jomushi

Wanajeshi wa Kenya Wauwawa Somalia

Posted on: May 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Wanajeshi wa Kenya
Wanajeshi wa Kenya Wauwawa Somalia

SERIKALI ya Kenya imethibitisha kuwa maofisa wake wawili wa jeshi wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa, baada ya wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shaabab kufanya shambulio…

Continue Reading....

Sarakasi Zaendelea Uchaguzi Mkuu Malawi…!

Posted on: May 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Uchaguzi Mkuu Malawi
Sarakasi Zaendelea Uchaguzi Mkuu Malawi…!

UCHAGUZI Mkuu wa Malawi umeendelea kubeba sura mpya ya sarakasi za mapingamizi ya kisheria, baada ya Mahakama Kuu ya Lilongwe kuamuru Tume ya Uchaguzi nchini…

Continue Reading....

TGNP Yawanoa Wabunge Juu ya Bajeti ya Mrengo wa Kijinsia

Posted on: May 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, TGNP na wabunge kimrengo wa jinsia
TGNP Yawanoa Wabunge Juu ya Bajeti ya Mrengo wa Kijinsia

TGNP Mtandao wamekutana na Kamati za Bunge Mjini Dodoma katika warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa Hazina ndogo. Warsha hiyo ililenga kuwawezesha Wabunge…

Continue Reading....

Kuziona Stars na Malawi sh. 5,000, U15 Tanzania Yafanya Kweli AYG

Posted on: May 26, 2014May 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Mpambano wa Stars na Malawi
Kuziona Stars na Malawi sh. 5,000, U15 Tanzania Yafanya Kweli AYG

TAIFA Stars na Malawi (Flames) zinapambana kesho (Mei 27 mwaka huu) katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia…

Continue Reading....

Uganda Yaongoza Vita Dhidi ya Utapiamlo

Posted on: May 26, 2014May 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Utapiamlo Uganda
Uganda Yaongoza Vita Dhidi ya Utapiamlo

  Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha UGANDA inaongoza katika vita dhidi ya utapiamlo sugu na kuudhibiti miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Continue Reading....

Baba Amuua Mwanaye kwa Adhabu Kali

Posted on: May 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Baba amuuwa mwanaye, featured
Baba Amuua Mwanaye kwa Adhabu Kali

*Ampaka pilipili machoni na makalioni SIMANZI, vilio na majonzi vilitawala Kijiji cha Misiri, Kata ya Bugarama, wilayani Geita, kutokana na tukio la kifo cha mtoto,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari