Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo.…
Continue Reading....Author: jomushi
Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani Washerehekea Miaka 24
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya kusherehekea…
Continue Reading....JK Atuma Pole Kifo cha Meja Jenerali Muhidin Kimario
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi,…
Continue Reading....Kiota Kipya cha Fursat Dhahabiyya Kigamboni Chazinduliwa
Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya Kilichopo Mji Mwema Kigamboni Muonekano kwa ndani wa Kiota Hicho
Continue Reading....Rais Kikwete Awatembelea Viongozi Waliolazwa Muhimbili
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es…
Continue Reading....