Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 660

Author: jomushi

Polisi Wawapiga Mabomu ya Machozi Wabunge Bungeni

Posted on: November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Bungeni, nigeria, Polisi
Polisi Wawapiga Mabomu ya Machozi Wabunge Bungeni

POLISI wa Mji Mkuu wa Lagos, nchini Nigeria, wamefyatua gesi ya kutoa machozi ndani ya Jengo la Bunge, na kulazimisha kuahirishwa kwa mjadala muhimu wa…

Continue Reading....

Mtoto wa Miaka 3 Abakwa na Ndugu, Ateswa…!

Posted on: November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Abakwa na Ndugu, Ateswa, mtoto
Mtoto wa Miaka 3 Abakwa na Ndugu, Ateswa…!

HUKU kukiwa na ukimya, mtoto Neelofar mwenye umri wa miaka mitatu pekee amepakatwa na nyanyake katika kiti cha nyuma cha texi ikimkimbiza hospitalini. Ndani ya…

Continue Reading....

Akaunti ya Escrow Yamtesa Pinda Bungeni, Wabunge Wacharuka

Posted on: November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Akaunti ya Escrow, Bungeni, serikali
Akaunti ya Escrow Yamtesa Pinda Bungeni, Wabunge Wacharuka

Na Joachim Mushi TUHUMA za uchotaji wa fedha Dola za Marekani milioni 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyotua bungeni imeendelea kuitesa Serikali huku kukiwa…

Continue Reading....

Angalia Changamoto za Maisha ya Vijijini Wilayani Newala

Posted on: November 20, 2014November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Changamoto, Maisha ya Vijijini, Newala, wanawake
Angalia Changamoto za Maisha ya Vijijini Wilayani Newala

Continue Reading....

TFF, Wanahabari Wawalilia Munyuku na Karashani

Posted on: November 20, 2014November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Karashani, TFF, Vifo vya Munyuku, wanahabari
TFF, Wanahabari Wawalilia Munyuku na Karashani

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko vifo vya waandishi wa habari Innocent Munyuku na Baraka Karashani vilivyotokea Novemba 19 mwaka huu…

Continue Reading....

Serikali Ichukue Hatua Kupunguza Uhaba wa Dawa

Posted on: November 20, 2014 - jomushi
Post Tags: MSD na Sikika, serikali, Uhaba wa Dawa
Serikali Ichukue Hatua Kupunguza Uhaba wa Dawa

TUNASIKITISHWA na namna ambavyo serikali imekuwa ikishughulikia suala laupungufu wa dawa na vifaa tiba nchini. Siku za karibuni, kumekuwepo na taarifa za ukosefu wa dawa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari