Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 649

Author: jomushi

Mauaji Wakenya; Mkuu wa Polisi Kenya Ajiuzulu

Posted on: December 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Ajiuzulu, Mauaji, Mkuu wa Polisi Kenya
Mauaji Wakenya; Mkuu wa Polisi Kenya Ajiuzulu

INSPEKTA Generali Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kujiuzulu ikiwa ni shinikizo kutokana na yeye kushindwa kuwajibika juu ya matukio kaadhaa…

Continue Reading....

Huyu Ndiye Mchezaji Bora Ligi Kuu Novemba

Posted on: December 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Mchezaji Bora Ligi Kuu, Rashid Mandawa
Huyu Ndiye Mchezaji Bora Ligi Kuu Novemba

MSHAMBULIAJI wa timu ya Kagera Sugar ya mkoani Kagera, Rashid Mandawa amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa mwezi Novemba mwaka…

Continue Reading....

TFF Yaomba Usajili wa Copa Coca-Cola 2014

Posted on: December 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Copa Coca-Cola 2014, TFF
TFF Yaomba Usajili wa Copa Coca-Cola 2014

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeitaka mikoa mitano kuwasilisha usajili wa wachezaji wake kwa ajili ya mashindano ya Taifa ya Copa Coca-Cola 2014…

Continue Reading....

Hafla ya Kuapishwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Prof Assad

Posted on: December 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Kuapishwa, Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Prof Assad
Hafla ya Kuapishwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Prof Assad

Continue Reading....

Tanzanian Convicted of Robbery Seeks Remedy at African Court

Posted on: December 2, 2014 - jomushi
Post Tags: AfCHPR, African Court
Tanzanian Convicted of Robbery Seeks Remedy at African Court

By Mtua Salira, EANA, Arusha A case in which a Tanzanian, Mr Alex Thomas, who is claiming that his basic rights have been infringed upon…

Continue Reading....

Hapibethidai Mdau Daniel Chongolo

Posted on: December 2, 2014 - jomushi
Post Tags: Daniel Chongolo
Hapibethidai Mdau Daniel Chongolo

 Mdau wa mitandao ya jamii, Daniel Chongolo leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari