Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa, Bernard Membe akimkabidhi Bi. Shamim Khan tuzo ya heshima ya kujishughulisha na kazi za kijamii hapa Tanzania,katika…
Continue Reading....Author: jomushi
Mwigulu Aomba Urais, Ataja Vipaumbele, Alibeba Zege…!
Na Joachim Mushi KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Lameck Nchemba leo ametangaza nia ya kugombea urais…
Continue Reading....Startimes Kuonesha Michuano Kombe la Dunia Chini ya Miaka 20
Na Dotto Mwaibale WAPENZI wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama Michuano ya Kombe la Dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye…
Continue Reading....Tangazo la Msiba wa Sebastian Lukas Mgimba
Familia ya Bw. Sebastian Lukas Mgimba ya Sinza kumekucha inasikitika kutangaza kifo cha baba Yao mpendwa ndugu Sebastian Lukas Mgimba kilichotokea alhamis 28/5/2015 katika hospital…
Continue Reading....Flaviana Matata Aula Marekani, Apata Dili la Matangazo
MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA ANAYE FANYA KAZI ZAKE NCHINI MAREKANI AMBAYE AMEKUWA AKIFANYA KAZI MBALIMBALI ZA KUONESHA MAVAZI JUKWAANI SAMBAMBA NA MATANGAZO YA KIBIASHARA. SASA AMEFANYA NA…
Continue Reading....Matukio Lowassa Akitangaza Nia Arusha, Avuta Umati…!
Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono…
Continue Reading....