Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 482

Author: jomushi

Mafundi TEMESA Wafundwa Juu ya Usimamizi na Ukaguzi Mazingira

Posted on: July 1, 2015 - jomushi
Post Tags: Mazingira, Temesa
Mafundi TEMESA Wafundwa Juu ya Usimamizi na Ukaguzi Mazingira

MAFUNDI sanifu wa Wakala wa Umeme na Ufundi (TEMESA), kutoka mikoa mbalimbali nchini wameaswa juu ya umuhimu wa tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira katika…

Continue Reading....

GEL Tanzania Yatoa Nafasi ya Kusoma Nje ya Nchi

Posted on: July 1, 2015 - jomushi
GEL Tanzania Yatoa Nafasi ya Kusoma Nje ya Nchi

Muonekano wa Ofisi ya Global Education Link iliyopo ndani ya viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Msimamizi wa Masoko wa Global Education Link ambao…

Continue Reading....

Wateja Banda la UN Sabasaba Wapewa Fursa Kutoa Maoni kwa Simu

Posted on: July 1, 2015 - jomushi
Post Tags: Sabasaba
Wateja Banda la UN Sabasaba Wapewa Fursa Kutoa Maoni kwa Simu

Continue Reading....

Boniface Mkwasa Kutupa Karata ya Kwanza Dhidi ya Uganda

Posted on: June 30, 2015June 30, 2015 - jomushi
Post Tags: Boniface Mkwasa, uganda
Boniface Mkwasa Kutupa Karata ya Kwanza Dhidi ya Uganda

TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inatarajiwa kuondoka nchini siku ya alhamis kuelekea nchini Uganda kwa ajili…

Continue Reading....

NSSF Yatoa Huduma za Afya Bure Maonesho ya Sabasaba

Posted on: June 30, 2015June 30, 2015 - jomushi
Post Tags: Huduma Afya, NSSF, Sabasaba

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo…

Continue Reading....

Washindi wa Tuzo za TANAPA 2014 Wakabidhiwa

Posted on: June 30, 2015 - jomushi
Washindi wa Tuzo za TANAPA 2014 Wakabidhiwa

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari