Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 456

Author: jomushi

Waliochukua na Kurejesha Fomu Kugombea Nafasi Anuai Leo

Posted on: July 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Fomu Kugombea
Waliochukua na Kurejesha Fomu Kugombea Nafasi Anuai Leo

DHAMIRA YANGU 1. Kuwaunganisha wanawake wote Wa mkoa Wa tanga 2. Kujenga jumuiya imara ya UWT 3. Kusaidia na kuboresha maisha ya wanawake Wa makundi mbalimbali 4.…

Continue Reading....

I Love Bi. Kidude…!

Posted on: July 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Bi. Kidude
I Love Bi. Kidude…!

‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’  ANDY Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web ‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya…

Continue Reading....

Dk Magufuli Aanza Vizuri, Azoa Wanachama Wapya 150 Wilayani Chato

Posted on: July 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Dk. Magufuli, Wanachama
Dk Magufuli Aanza Vizuri, Azoa Wanachama Wapya 150 Wilayani Chato

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dk.John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya…

Continue Reading....

Polisi Wafanikiwa Kukamata Bunduki na Risasi Zilizoibiwa Kituoni Stakishari Dar

Posted on: July 20, 2015July 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Bunduki na Risasi, Polisi, Stakishari
Polisi Wafanikiwa Kukamata Bunduki na Risasi Zilizoibiwa Kituoni Stakishari Dar

JESHI la polisi nchini Tanzania leo limetangaza kupata mafanikio makubwa katika operation maalum inayoendelea ya kuwasaka watu waliohusika katika shambulio la kuvamia kituo cha polisi cha…

Continue Reading....

Rais wa Zamani wa Chad Kufikishwa Mahakamani

Posted on: July 20, 2015July 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Chad, Hissene Habre
Rais wa Zamani wa Chad Kufikishwa Mahakamani

RAIS wa zamani wa Chad Hissene Habre atafikishwa mahakamani nchini Senegal kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, ukatili dhidi ya binadamu na uhalifu wa…

Continue Reading....

FIFA Kumchagua Rais Mpya 2016

Posted on: July 20, 2015 - jomushi
Post Tags: FIFA
FIFA Kumchagua Rais Mpya 2016

SHIRIKISHO la soka duniani Fifa litaandaa kongamano la dharura kuchagua rais mpya tarehe 26 mwezi Februari 2016. Hii ni licha ya rais aliyeko sasa Sepp…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari