Viongozi wa Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga waliomaliza muda wao wakijiuzuru nyadhifa zao kabla ya uchaguzi mkuu kupata viongozi wapya wa klabu…
Continue Reading....Author: jomushi
Mafunzo ya Wasimamizi, Wahariri na Wadadisi wa Utafiti wa Afya ya Mama na Mtoto
Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wasimamizi,wahariri na wadadisi wa utafiti wa…
Continue Reading....Kamishna wa Elimu Ataka Viwango vya Umahiri Tehama kwa Wakufunzi Kupanda
Kiongozi wa kitaifa wa mradi wa CFIT, Prof. Ralph Masenge akimkaribisha mgeni rasmi Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa (hayupo pichani) kufungua kongamano linalohusu upitiaji…
Continue Reading....TTCL Yakabidhi Mradi wa Kuunganisha Matawi ya MSD Tanzania
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imekabidhi mradi mkubwa wa Mkongo wa Mawasiliano ambao umeyaunganisha matawi yote ya Bohari…
Continue Reading....Auawa Baada ya Kuwachoma Visu Abiria Kwenye Daladala
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati…
Continue Reading....TAKUKURU Yamkingia Kifua Mkurugenzi Manispaa ya Tabora
Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana. Jaji Msumi (katikati), akiwa na wenzake akisikiliza shauri hilo. Na Dotto Mwaibale KAMANDA wa Taasisi…
Continue Reading....