Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 448

Author: jomushi

Rais Jakaya Kikwete Ziarani Nchini Australia

Posted on: July 27, 2015July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Australia, Raisi Kikwete
Rais Jakaya Kikwete Ziarani Nchini Australia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete aliondoka nchini usiku wa Jumamosi, Julai 25, 2015, kwenda Australia ambako anaanza ziara rasmi ya…

Continue Reading....

ESAMI, Wizara ya Habari Zawapiga Msasa Maofisa Vijana

Posted on: July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: ESAMI, Vijana
ESAMI, Wizara ya Habari Zawapiga Msasa Maofisa Vijana

MAOFISA Vijana Nchini wametakiwa kutumia elimu wanayopata katika kuwaendeleza vijana kiuchumi ili kuwawezesha kushiriki katika shughuli za uzalishaji mali. Hayo yamesemwa leo Jijini Arusha na…

Continue Reading....

Madaktari wa Dispora Washington Watoa Msaada wa Dawa Zanzibar

Posted on: July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Madaktari wa Dispora, Zanzibar
Madaktari wa Dispora Washington Watoa Msaada wa Dawa Zanzibar

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Jidawi akizungumza na Madaktari Diaspora kutoka Washington walipofika Afisini kwake kwa kujutambulisha ujio wao Zanzibar walioletwa na Jumuiya…

Continue Reading....

Makundi 5 Yatinga Ndani ya Dance 100% 2015 Usaili Temeke

Posted on: July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Dance 100%
Makundi 5 Yatinga Ndani ya Dance 100% 2015 Usaili Temeke

Usaili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The…

Continue Reading....

UNESCO Kuhakikisha Wananchi Wanakuwa na Uwezo wa Kuvumbua

Posted on: July 27, 2015July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: UNESCO
UNESCO Kuhakikisha Wananchi Wanakuwa na Uwezo wa Kuvumbua

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akielezea mantiki ya warsha…

Continue Reading....

Madaktari wa Diaspora Kutoka Washington Kutoa Huduma Zanzibar

Posted on: July 26, 2015 - jomushi
Post Tags: Madaktari wa Diaspora
Madaktari wa Diaspora Kutoka Washington Kutoa Huduma Zanzibar

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar Ndg Adila Hilal Vuai, akiutambulisha Ujumbe wa Madaktari Diaspora kutoka Washington walioletwa na Jumuiya ya Watanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari